HAJIMANARA Atangaza KUFUNGA NDOA/ Apata MKE kupitia INSTAGRAM

0 Просмотры
Издатель
Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Sunday Manara, mapema leo amethibitisha kuwa ifikapo siku ya kesho tarehe 10, anatarajia kufunga ndoa.

Haji ambaye pia ni mfanyabiashara wa manukato amebainisha hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa ndoa hiyo itafungwa katika msikiti wa Maamur na sherehe itaonyeshwa kupitia king'amuzi cha azam, siku ya Jumamosi.
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook
---------------------------------------------------------------------------------
Website
-----------------------------------------------------------------------------------
#HAJIMANARA #NDOA
Категория
Трендовые видео
Комментариев нет.